Beki wa Kushoto wa Klabu ya Wydad Casablanca, Oussama Faloh amefariki Dunia hapo jana akiwa hospitalini akipatiwa matibabu.

Katika taarifa ya Klabu ya Wydad, Beki huyo mwenye umri wa miaka 24 alipata ajali ya gari wiki tatu zilizopita, iliyompelekea kupararaizi kisha kupelekwa hospitali ambapo ndipo alipokutwa na Umauti.

Foloh alisajiliwa na Wydad Casablanca katika dirisha kubwa la usajili lililopita akitokea Klabu ya Angers inayoshiriki Ligi kuu Nchini Ufaransa.



You Might Also Like

Get Newsletter

Advertisement