Bayern Munich wapo kwenye Hali ngumu , baada ya kupoteza mchezo wa jana Bayern hajafanikiwa kupiga shuti hata moja lililolenga lango kwenye mchezo dhidi ya lazio.

Takwimu hizi zinatofautina na mchezo uliopita ambapo bayern alipiga shuti moja tuu langoni dhidi ya Leverkusen.

Bayern pia wamepoteza mchezo katika mkondo wa kwanza wa hatua ya kumi na sita ya UCL kwa mara ya kwanza katika misimu 11 iliyopita.

You Might Also Like

Get Newsletter

Advertisement