Klabu ya Bayern Leverkusen ipo katika kiwango bora sana msimu huu na wamefanikiwa kuwa na ubora mkubwa katika mechi zake.

Chini ya kocha wao Xabi Alonso Bayern Munich msimu huu hawajapoteza mchezo wowote kwenye ligi kuu ya Ujerumani Bundesliga

▪️Mechi - 7

▪️Ushindi - 6

▪️Sare -1

▪️Kupoteza - 0

▪️Magoli ya kufunga - 23

▪️Magoli ya kufungwa - 6

Bayern Leverkusen ndiyo vinara wa ligi kuu ya Ujerumani "Bundesliga" mpaka sasa wakiwa na jumla ya 19.

You Might Also Like

Get Newsletter

Advertisement