Hii ndiyo orodha ya wachezaji wanaoongoza kwa kucheka na nyavu katika ligi kuu ya NBC.
▪️Jean Baleke - 5
▪️Feisal Salum - 4
▪️Pacome Zouzoua - 3
▪️Stephane Aziz Ki - 3
▪️Maxi Nzengeli - 3
▪️Matheo Antony - 3
Trump anapendekeza Kombe la Dunia la FIFA linaweza kuhamishwa kutoka miji isiyo salama
Kocha wa Liverpool, Arne Slot, amethibitisha kwamba wamiliki wa klabu, Fenway Sports Group (FSG), wamelipa familia ya Diogo Jota kiasi kamili cha mkataba wake baada ya kifo cha mchezaji huyo mwanzoni mwa Julai.
Subscribe to our newsletter to get latest news, popular news and exclusive updates.