AZAM FC: THABITI ZAKARIA AMETHIBISHA KIFO CHA MWANKENWA
Daktari wa Azam FC, Mwanandi Mwankemwa amefariki dunia leo Februari 27 katika hospitali ya Wilaya ya Temeke alipokuwa akipatiwa matibabu wakati wa uhai wake.
Meneja wa Habari na Mawasiliano wa Azam FC, Thabiti Zakaria amethibitisha taarifa za kifo cha Mwankenwa.
Mwankenwa amehudumu Azam kwa miaka 16 tangu timu hiyo ilipopanda daraja mwaka 2008.
Endelea kufuatilia mitandao yetu ya kijamii kwa taarifa zaidi