Arsenal walikuwa wenyeji wa Porto kwenye Uwanja wa Emirates katika mchezo wa wa pili wa hatua ya 16 bora wa UEFA Champions League usiku wa kuamka leo.

Dakika 90 zilishindwa kumaliza mchezo mpaka hatua inayofuata waliamuliwa kwa mikwaju ya penati na Arsenal kuibuka na ushindi Arsenal ilifuzu kwenda robo fainali ya UEFA Champions League kwa mara ya kwanza tangu 2010.

You Might Also Like

Get Newsletter

Advertisement