Klabu ya Arsenal ina mpango wa kutuma ofa katika klabu ya SSC Napoli juu ya kuiwinda saini ya mshambuliaji wao Victor Osimhen. 

Arsenal wapo tayari kufanya deal hilo liwe la mabadilishano ya wachezaji wamruhusu Gabriel Jesus kujiunga na Napoli kama sehemu ya deal hilo. 

Klabu ya Napoli imeshindwa kumshawishi mshambuliaji wao Victor Osimhen kusaini kandarasi mpya ya kuendelea kuhudumu katika klabu ya Napoli. 

Gabriel Jesus yupo tayari kujiunga na klabu hiyo ya Napoli endapo deal hilo litakamilika.

You Might Also Like

Get Newsletter

Advertisement