Droo ya Robo Fainali ya Ligi ya Mabingwa Ulaya imepangwa leo Machi 15, 2024 ambapo Arsenal inatarajiwa kukipiga na Bayern Munich huku Atlético Madrid ikipangwa na Borussia Dortmund. 

Wababe wa Uhispania, Real Madrid wao watacheza dhidi ya Manchester City wakati Paris Saint-Germain (PSG) watavaana na Barcelona. 

Michezo hiyo ilitarajiwa kufanyika Aprili 9 na 10, 2024 na marudio ni Aprili 16 na 17, 2024. 

You Might Also Like

Get Newsletter

Advertisement