Idara ya ulinzi ya klabu ya Arsenal ilikua katika kiwango bora sana na walifanikiwa kumzuia mshambuliaji hatari wa Manchester City Erling Braut Haaland kuleta madhara kwenye goli Lao.

Takwimu za Mshambuliaji Erling Braut Haaland dhidi ya Arsenal

▪️Shots - 0

▪️Shots On Target - 0

▪️Goals - 0

▪️Assists - 0

You Might Also Like

Get Newsletter

Advertisement