ANSU FATI, PEDRO WAHUSIKA KWENYE HISTORIA BRIGHTON
Fati aliyesajiliwa kwa mkopo msimu huu akitokea Barcelona ameingia kwenye historia ya klabu ya Brighton ya Uingereza.
Ansu Fati pamoja na Joao Pedro wamefunga magoli kwenye mchezo kati ya Brighton & Hove Albion dhidi ya Ajax.
Huu ni ushindi wa kwanza kwa klabu ya Brighton & tove Albion kuupata kwenye mashindano ya Ulaya.