Rais wa Chama cha Soka Zambia Andrew Kamanga amekamatwa huku akikabiliwa na mashtaka ya ubadhirifu wa fedha za umma na utakatishaji fedha.

Rais huyo anatuhumiwa kutumia fedha za serikali ili kuwawezesha ndugu na rafiki zake, kusafiri kuhudhuria Kombe la Mataifa ya Afrika (Afcon), nchini Ivory Coast, mwezi Januari, licha ya wawili hao kutokuwa maafisa wa chama cha soka Zambia, FAZ.

You Might Also Like

Get Newsletter

Advertisement