Amir Abdou ndiyo kocha ambaye amefanya mambo makubwa ya kuwaangusha vigogo kwenye mashindano ya AFCON na kufanya wabaki na historia ngumu sana

Amir Abdou wakati anaifundisha Comoros aliwaongoza vijana wake kuifunga timu ya taifa ya Ghana kwa magoli 3-2 na wakafanikiwa kutinga hatua ya 16 bora kwenye mashindano ya AFCON

Amir Abdou ameifundisha tena Mauritania kwenye AFCON 2023 na amefanikiwa kuifunga timu ya taifa ya Algeria na wamefanikiwa kufuzu hatua ya 16 bora

You Might Also Like

Get Newsletter

Advertisement