Nyota wa klabu ya Liverpool Trent Alexander-Arnold atakosa fainali ya Kombe la Carabao dhidi ya Chelsea!

Alexander-Arnold atakuwa nje tena kwa wiki chache baada ya kurudi kutoka kwenye majeraha na kucheza mechi za hivi karibuni hiyo imepelekea kutonesha majeraha yake

You Might Also Like

Get Newsletter

Advertisement