AHMED ALLY : TUPO KWENYE WIKI YA MICHUANO YA WAKUBWA
"Tupo kwenye wiki ya michuano ya wakubwa ya African Football League. Na leo lipo tukio muhimu la kwenda kuchagiza mchezo wetu dhidi ya Al Ahly."
"Leo ni uzinduzi wa jezi maalumu za AFL. Sandaland wameona tunavyokwenda kwenye sikukuu Wanasimba wasiende na jezi ya zamani, waende na jezi yenye hadhi. Watu wanatuonea donge sasa tunakwenda kuwaumiza tukiwa na jezi mpya."