Maandalizi ya Uwanja wa Taifa wa Mandela, Namboole umekaribia kukamilika. Baada ya kufanyiwa ukarabati, uwanja huo umewekewa viti vya kisasa, vyumba vinne vya kubadilisha, na maeneo mengine.

Uganda inahitaji kuwa na angalau viwanja vitatu vyenye hadhi kama sehemu ya maandalizi ya Afcon 2027 kupitia zabuni ya pamoja na Kenya na Tanzania.

Waziri wa Elimu na Michezo, Janet Museveni ameahidi kufanikisha malipo ya haraka ili kukamilisha kazi za ukarabati.



You Might Also Like

Get Newsletter

Advertisement