Shuti la Simon Msuva dakika 11 lililojaa wavuni halikutosha kuipa ushindi Timu ya Taifa ya Tanzania baada ya kuambulia sare ye goli 1-1 dhidi ya Zambia katika mchezo wa Kundi F kwenye michuano ya Kombe la Mataifa ya Afrika (AFCON)

Tanzania iliongoza muda mrefu katika mchezo huo kabla ya kukubali goli la kusawazisha lililofungwa na Patson Daka dakika ya 88 kwa kichwa. Kutokana na matokeo hayo Morocco inaongoza kwa kuwa na pointi 4, Zambia (2), DRCongo (2) na Tanzania (1)

Michezo iliyosalia Kundi F itachezwa Jumatano Januari 24, 2024, Tanzania dhidi ya DR Congo na Zambia dhidi ya Morocco


You Might Also Like

Get Newsletter

Advertisement