Timu ya taifa ya Tanzania kwenye michuano yakufuzu mataifa ya Afrika (Afcon) 2023 ilipoishia hatua ya makundi na kwa kutoa sare ya bila kufungana na DR Congo, kuna idadi ya wachezaji sita wa Azam walikuwa gumzo.

Kwenye kundi F Morocco ilitangulia hatua ya 16 bora ikifikisha pointi 7, Congo iliyokuwa na pointi 3, Zambia na Stars zikitolewa kwakukusanya pointi 2.

Kwenye kikosi kilichoanza jana chini ya Kocha Hemed Suleiman Morocco' na Juma Mgunda takribani wachezaji sita walianza karia zao kutoka kwenye timu za vijana za timu hiyo.

Kipa namba moja wa Stars, Aishi Manula, Mohamed Hussein 'Tshabalala! Novatus Dismas, Himid Mao 'Ninja' na Simon Msuva ambao wote jana walikuwa na kiwango bora.

You Might Also Like

Get Newsletter

Advertisement